Skip to content

Beriah

2 mistari · 4 wanafamilia

Mistari inayomtaja Beriah

  1. Nao wana wa Shimei walikuwa wanne: Yahathi, Zina, Yeushi na Beria.

  2. Yahathi alikuwa wa kwanza na Ziza wa pili, lakini Yeushi na Beria hawakuwa na wana wengi; kwa hiyo walihesabiwa kama jamaa moja, wakapewa wajibu kwa pamoja.