Skip to content

Bartimaeus

1 mstari · 1 mwanafamilia

Mistari inayomtaja Bartimaeus

  1. Kisha wakafika Yeriko. Yesu alipokuwa akiondoka mjini na wanafunzi wake pamoja na umati mkubwa wa watu, kipofu mmoja, jina lake Bartimayo, mwana wa Timayo, alikuwa ameketi kando ya njia akiomba msaada.