Rukia maudhui

Ahitub

5 mistari · 2 wanafamilia

Mistari inayomtaja Ahitub

  1. Sadoki mwana wa Ahitubu na Ahimeleki mwana wa Abiathari walikuwa makuhani; Seraya alikuwa mwandishi;

  2. Merayothi akamzaa Amaria, Amaria akamzaa Ahitubu,

  3. Ahitubu akamzaa Sadoki, Sadoki akamzaa Ahimaasi,

  4. Zerahia akamzaa Merayothi, Merayothi akamzaa Amaria, Amaria akamzaa Ahitubu,

  5. Sadoki mwana wa Ahitubu na Ahimeleki mwana wa Abiathari walikuwa makuhani; Shausha alikuwa mwandishi;