Skip to content
Marko 7:5-7

Marko 7:5-7

5
Kwa hiyo wale Mafarisayo na walimu wa sheria wakamuuliza Yesu, “Mbona wanafunzi wako hawafuati desturi za wazee, na badala yake wanakula kwa mikono najisi?”
6
Yesu akawajibu, “Nabii Isaya alisema ukweli alipotabiri juu yenu, ninyi wanafiki. Kama ilivyoandikwa: “ ‘Watu hawa huniheshimu kwa midomo yao, lakini mioyo yao iko mbali nami.
7
Huniabudu bure, nayo mafundisho yao ni maagizo ya wanadamu tu.’
Settings

Reading style

Typeface

Font size 19px

Reading width 75 chars

Options