Skip to content
Marko 11:17-19

Marko 11:17-19

17
Naye alipokuwa akiwafundisha, akasema, “Je, haikuandikwa kuwa: “ ‘Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala kwa mataifa yote’? Lakini ninyi mmeifanya kuwa ‘pango la wanyangʼanyi.’ ”
18
Viongozi wa makuhani na walimu wa sheria wakapata habari hizi, nao wakaanza kutafuta njia ya kumuua, kwa kuwa walikuwa wakimwogopa, kwa sababu umati wote ulikuwa unashangazwa na mafundisho yake.
19
Ilipofika jioni, Yesu na wanafunzi wake wakatoka nje ya mji.
Settings

Reading style

Typeface

Font size 19px

Reading width 75 chars

Options