Skip to content
Mwanzo 26:34-35

Esau aoa wanawake Wahiti

Mwanzo 26:34-35
34
Esau alipokuwa na umri wa miaka arobaini, akamwoa Yudithi binti Beeri Mhiti, kisha akamwoa Basemathi binti Eloni Mhiti.
35
Hawa walikuwa chanzo cha huzuni ya Isaki na Rebeka.
Settings

Reading Style

Typeface

Font Size 19px

Reading Width 45 chars

Options