Skip to content
Kumbukumbu 2:5-6

Kumbukumbu 2:5-6

5
Msiwachokoze kwa vita kwa maana sitawapa ninyi sehemu yoyote ya nchi yao, hata sehemu ya kutosha kuweka wayo wenu juu yake. Nimempa Esau nchi ya vilima ya Seiri kama yake mwenyewe.
6
Mtawalipa fedha kwa chakula mtakachokula na maji mtakayokunywa.’ ”
Settings

Reading Style

Typeface

Font Size 19px

Options