Skip to content
2 Wakorintho 6:1-2

Wito wa Kutumia Neema ya Mungu kwa Hekima

2 Wakorintho 6:1-2
1
Kama watendakazi pamoja na Mungu, tunawasihi msipokee neema ya Mungu bure.
2
Kwa maana asema: “Wakati wangu uliokubalika nilikusikia, siku ya wokovu nilikusaidia.” Tazama, wakati uliokubalika ndio huu, siku ya wokovu ndiyo sasa.
Settings

Reading style

Typeface

Font size 19px

Reading width 90 chars

Options