Mistari ya Biblia kuhusu Zoheleth: A stone near En-Rogel.
Mistari kuhusu A stone near En-Rogel.
Ndipo Adoniya akatoa dhabihu ya kondoo, ngʼombe na ndama walionona kwenye Jiwe la Zohelethi karibu na En-Rogeli. Akawaalika ndugu zake wote, wana wa mfalme na wanaume wote wa Yuda waliokuwa maafisa wa mfalme,