Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Willow: General references

3 mistari · 2 vipengele

Mistari kuhusu General references

  1. Siku ya kwanza mtachukua matunda mazuri ya miti, matawi ya mitende, matawi yenye majani mengi, na matawi ya mirebi, nanyi mtashangilia mbele za Bwana Mungu wenu kwa siku saba.

  2. Kwenye miti ya huko tulitundika vinubi vyetu,

  3. “ ‘Akachukua baadhi ya mbegu za nchi yako na kuziweka katika udongo wenye rutuba. Akazipanda kama mti umeao kando ya maji mengi,