Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Victories: In battle, from God

3 mistari · 3 vipengele

Tafuta "Victories"

Mistari kuhusu In battle, from God

  1. Huniokoa nikawa salama katika vita vilivyopangwa dhidi yangu, ingawa watu wengi hunipinga.

  2. Mashujaa hulala wametekwa nyara, hulala usingizi wao wa mwisho; hakuna hata mmoja wa watu wa vita anayeweza kuinua mikono yake.

  3. Kwa kukemea kwako, Ee Mungu wa Yakobo, farasi na gari la vita vilikaa kimya.