Mistari ya Biblia kuhusu Uzziah: 3. Father of Jehonathan
Mistari kuhusu 3. Father of Jehonathan
Azmawethi mwana wa Adieli ndiye alikuwa msimamizi wa hazina za mfalme. Msimamizi wa hazina katika mashamba, miji, vijiji na kwenye ngome alikuwa Yonathani mwana wa Uzia.