Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Scape Goat: Sent into the wilderness by the hands of a fit person

2 mistari · 7 vipengele

Mistari kuhusu Sent into the wilderness by the hands of a fit person

  1. Aroni ataweka mikono yake miwili juu ya kichwa cha mbuzi aliye hai na kuungama juu yake uovu wote na uasi wa Waisraeli, yaani dhambi zao zote, ili kuziweka juu ya kichwa cha huyo mbuzi. Atamwachia huyo mbuzi akimbilie jangwani kwa uangalizi wa mtu aliyepewa wajibu huo.

  2. Yule mbuzi atachukua juu yake dhambi zao zote mpaka mahali pasipo na watu; naye yule mtu atamwachia akimbilie jangwani.