Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Heathen: Salvation provided for

4 mistari · 37 vipengele

Mistari kuhusu Salvation provided for

  1. pia ili watu wa Mataifa wamtukuze Mungu kwa rehema zake. Kama ilivyoandikwa: “Kwa hiyo nitakutukuza katikati ya watu wa Mataifa; nitaliimbia sifa jina lako.”

  2. Tena yasema, “Enyi watu wa Mataifa, furahini pamoja na watu wa Mungu.”

  3. Tena, “Msifuni Bwana, ninyi watu wa Mataifa wote, na kumwimbia sifa, enyi watu wote.”

  4. Tena Isaya anasema, “Shina la Yese litachipuka, yeye atakayeinuka ili kutawala juu ya mataifa. Watu wa Mataifa watamtumaini.”