Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Comforter, the Holy Spirit

3 mistari · 16 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Si hivyo tu, bali twafurahi pia katika mateso, kwa sababu tunajua kuwa mateso huleta saburi,

  2. nayo saburi huleta uthabiti wa moyo, na uthabiti wa moyo huleta tumaini,

  3. wala tumaini halitukatishi tamaa, kwa sababu Mungu amekwisha kumimina pendo lake mioyoni mwetu kwa njia ya Roho Mtakatifu ambaye ametupatia.