Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Blessed: To whom God imputes righteousness without works

4 mistari · 43 vipengele

Mistari kuhusu To whom God imputes righteousness without works

  1. Daudi pia alisema vivyo hivyo aliponena juu ya baraka za mtu ambaye Mungu humhesabia haki pasipo matendo:

  2. “Wamebarikiwa wale ambao wamesamehewa makosa yao, ambao dhambi zao zimefunikwa.

  3. Heri mtu yule Bwana hamhesabii dhambi zake.”

  4. Je, huku kubarikiwa ni kwa wale waliotahiriwa peke yao, au pia na kwa wale wasiotahiriwa? Tunasema, “Imani ya Abrahamu ilihesabiwa kwake kuwa haki.”