Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Spider

3 mistari · 2 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Lile analolitumainia huvunjika upesi; lile analolitegemea ni utando wa buibui.

  2. Mjusi anaweza kushikwa kwa mkono, hata hivyo huonekana katika majumba ya kifalme.

  3. Huangua mayai ya nyoka wenye sumu kali na kutanda wavu wa buibui. Yeyote alaye mayai yao atakufa, na wakati moja lianguliwapo, nyoka hutoka humo.