Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Sinews

5 mistari

Mistari muhimu ya Biblia

  1. ukanivika ngozi na nyama, na kuniunga pamoja kwa mifupa na mishipa?

  2. Usiku mifupa yangu inachoma; maumivu yanayonitafuna hayatulii kamwe.

  3. Kwa kuwa nalijua jinsi ulivyokuwa mkaidi; mishipa ya shingo yako ilikuwa chuma, kipaji chako cha uso kilikuwa shaba.

  4. Nitawawekea mishipa, nami nitaifanya nyama ije juu yenu na kuwafunika kwa ngozi. Nitatia pumzi ndani yenu, nanyi mtakuwa hai. Ndipo mtakapojua kuwa Mimi ndimi Bwana.’ ”

  5. Nikatazama, mishipa na nyama vikatokea juu ya mifupa na ngozi ikaifunika, lakini hapakuwepo pumzi ndani yake.