Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Sheshach: A symbolic name, apparently applied to Babylon.

2 mistari · 1 kipengele

Mistari kuhusu A symbolic name, apparently applied to Babylon.

  1. na wafalme wote wa pande za kaskazini, wa karibu na wa mbali, mmoja baada ya mwingine; yaani falme zote juu ya uso wa dunia. Baada ya hao wote, mfalme wa Sheshaki atakunywa pia.

  2. “Tazama jinsi Sheshaki atakamatwa, majivuno ya dunia yote yatakavyonyakuliwa. Babeli atakuwa mwenye hofu kiasi gani kati ya mataifa!