Mistari ya Biblia kuhusu Shaphan: 4. Father of Jaazaniah
Mistari kuhusu 4. Father of Jaazaniah
Mbele yao walisimama wazee sabini wa nyumba ya Israeli, naye Yaazania mwana wa Shafani alikuwa amesimama miongoni mwao. Kila mmoja alikuwa na chetezo mkononi na moshi wa harufu nzuri ya uvumba ulikuwa unapanda juu.