Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Sardius: In the garden of Eden

1 mstari · 4 vipengele

Mistari kuhusu In the garden of Eden

  1. Ulikuwa ndani ya Edeni, bustani ya Mungu; kila kito cha thamani kilikupamba: akiki nyekundu, yakuti manjano na zumaridi, krisolitho, shohamu na yaspi, yakuti samawi, almasi na zabarajadi. Kuwekwa kwa hayo mapambo na kushikizwa kwake kulifanywa kwa dhahabu; siku ile ulipoumbwa yaliandaliwa tayari.