Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Refuge

1 mstari · 1 kipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Mungu alifanya hivyo ili kwa vitu viwili visivyobadilika, yaani ahadi yake na kiapo chake, ambavyo kwavyo Mungu hawezi kusema uongo, sisi ambao tumemkimbilia ili tulishike lile tumaini lililowekwa mbele yetu tuwe na faraja thabiti.