Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Reciprocity

3 mistari

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Imewapendeza kufanya hivyo, naam, kwani ni wadeni wao. Kwa maana ikiwa watu wa Mataifa wameshiriki baraka za rohoni za Wayahudi, wao ni wadeni wa Wayahudi, ili Wayahudi nao washiriki baraka zao za mambo ya mwilini.

  2. Je, ikiwa sisi tulipanda mbegu ya kiroho miongoni mwenu, itakuwa ni jambo kubwa iwapo tutavuna vitu vya mwili kutoka kwenu?

  3. Basi, yeye afundishwaye katika neno na amshirikishe mwalimu wake mema yote.