Mistari ya Biblia kuhusu Rabsaris: 1. An Assyrian officer. Sent by Sennacherib against Jerusalem
Mistari kuhusu 1. An Assyrian officer. Sent by Sennacherib against Jerusalem
Mfalme wa Ashuru akamtuma jemadari wake mkuu, na afisa wake mkuu, na jemadari wa jeshi, pamoja na jeshi kubwa kutoka Lakishi hadi kwa Mfalme Hezekia huko Yerusalemu. Wakaja Yerusalemu na kusimama kwenye mfereji wa Bwawa la Juu, lililojengwa katika barabara iendayo kwenye Uwanja wa Dobi.