Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Pur

1 mstari · 1 kipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Katika mwaka wa kumi na mbili wa utawala wa Mfalme Ahasuero, katika mwezi wa kwanza uitwao Nisani, walipiga puri (yaani kura) mbele ya Hamani ili kuchagua siku na mwezi. Kura ikaangukia kwenye mwezi wa kumi na mbili, yaani Adari.