Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Promotion: General references

6 mistari · 2 vipengele

Mistari kuhusu General references

  1. Hakuna yeyote atokaye mashariki wala magharibi au kutoka jangwani awezaye kumkweza mwanadamu.

  2. Bali Mungu ndiye ahukumuye: Humshusha huyu na kumkweza mwingine.

  3. Akamchagua Daudi mtumishi wake na kumtoa kwenye mazizi ya kondoo.

  4. Kutoka kuchunga kondoo alimleta kuwa mchungaji wa watu wake Yakobo, wa Israeli urithi wake.

  5. Huwainua maskini kutoka mavumbini, na kuwanyanyua wahitaji kutoka kwenye jalala,

  6. huwaketisha pamoja na wakuu, pamoja na wakuu wa watu wake.