Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Presents: Cattle

3 mistari · 37 vipengele

Mistari kuhusu Cattle

  1. Mbuzi waume ishirini na mbuzi wake 200, kondoo dume ishirini na kondoo wake 200.

  2. Ngamia wake thelathini pamoja na ndama zao, ngʼombe wake arobaini na mafahali kumi, punda wake ishirini na punda waume kumi.

  3. Ndipo utakaposema, ‘Ni mali ya mtumishi wako Yakobo. Ni zawadi ambazo zimetumwa kwa bwana wangu Esau, naye anakuja nyuma yetu.’ ”