Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Potsherd

2 mistari · 1 kipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Ndipo Ayubu akachukua kigae na kujikuna nacho huku akiketi kwenye majivu.

  2. “Ole wake yeye ashindanaye na Muumba wake, yeye ambaye ni kigae tu kati ya vigae juu ya ardhi. Je, udongo wa kufinyangia humwambia mfinyanzi, ‘Unatengeneza nini wewe?’ Je, kazi yako husema, ‘Hana mikono’?