Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Perfume: Used in the tabernacle

2 mistari · 4 vipengele

Mistari kuhusu Used in the tabernacle

  1. “Itampasa Aroni kufukiza uvumba wenye harufu nzuri juu ya madhabahu kila siku asubuhi wakati anapowasha zile taa.

  2. Wakaleta pia vikolezi na mafuta ya zeituni kwa ajili ya mwanga, kwa ajili ya mafuta ya upako na kwa ajili ya uvumba wenye harufu nzuri.