Mistari ya Biblia kuhusu Pedaiah: 1. Grandfather of King Josiah
Mistari kuhusu 1. Grandfather of King Josiah
Yehoyakimu alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu miaka kumi na mmoja. Jina la mama yake aliitwa Zebida binti Pedaya kutoka Ruma.