Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Nitre

2 mistari · 1 kipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Kama vile avuaye mavazi siku ya baridi, au kama siki iliyomwagwa juu ya magadi, ndivyo alivyo yeye amuimbiaye nyimbo mtu mwenye moyo mzito.

  2. Hata ujisafishe kwa magadi na kutumia sabuni nyingi, bado doa la hatia yako liko mbele zangu,” asema Bwana Mwenyezi.