Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Nicolas: A proselyte of Antioch, and deacon of the church at Jerusalem.

2 mistari · 1 kipengele

Mistari kuhusu A proselyte of Antioch, and deacon of the church at Jerusalem.

  1. Yale waliyosema yakawapendeza watu wote, nao wakamchagua Stefano (mtu aliyejawa na imani na Roho Mtakatifu) pamoja na Filipo, Prokoro, Nikanori, Timoni, Parmena na Nikolao, mwongofu kutoka Antiokia.

  2. Wakawaleta watu hawa mbele ya mitume, nao wakawaombea na kuwawekea mikono juu yao.