Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Merodach-Baladan: Called also Berodach-Baladan, king of Persia. Sends congratulatory letters and a present to Hezekiah.

2 mistari · 1 kipengele

Mistari kuhusu Called also Berodach-Baladan, king of Persia. Sends congratulatory letters and a present to Hezekiah.

  1. Wakati huo Merodaki-Baladani, mwana wa Baladani mfalme wa Babeli, akamtumia Hezekia barua na zawadi, kwa sababu alikuwa amesikia habari za kuugua kwa Hezekia.

  2. Wakati huo Merodaki-Baladani, mwana wa Baladani mfalme wa Babeli, akamtumia Hezekia barua na zawadi, kwa sababu alikuwa amesikia habari za kuugua na kupona kwake.