Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Mephibosheth: 1. Son of Saul by Rizpah, whom David surrendered to the Gibeonites to be slain

2 mistari · 1 kipengele

Mistari kuhusu 1. Son of Saul by Rizpah, whom David surrendered to the Gibeonites to be slain

  1. Lakini mfalme akamchukua Armoni na Mefiboshethi, wana wawili wa Rispa binti Aiya, ambao alikuwa amemzalia Sauli, pamoja na wana watano wa Merabu binti Sauli, aliokuwa amemzalia Adrieli mwana wa Barzilai, Mmeholathi.

  2. Akawakabidhi kwa Wagibeoni, ambao waliwaua na kuwaweka wazi juu ya kilima mbele za Bwana. Wote saba walianguka kwa pamoja; waliuawa katika siku za kwanza za mavuno, mara tu uvunaji wa shayiri ulipokuwa unaanza.