Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Master Workman

2 mistari · 1 kipengele

Tafuta "Master Workman"

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Wakati huo nilikuwa fundi stadi kando yake. Nilijazwa na furaha siku baada ya siku, nikifurahi daima mbele zake,

  2. Kwa neema Mungu aliyonipa, niliweka msingi kama mjenzi stadi na mtu mwingine anajenga juu yake. Lakini kila mmoja inampasa awe mwangalifu jinsi anavyojenga.