Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Lying: Hateful to God

4 mistari · 54 vipengele

Mistari kuhusu Hateful to God

  1. Kuna vitu sita anavyovichukia Bwana, naam, viko saba vilivyo chukizo kwake:

  2. macho ya kiburi, ulimi udanganyao, mikono imwagayo damu isiyo na hatia,

  3. moyo uwazao mipango miovu, miguu iliyo myepesi kukimbilia uovu,

  4. shahidi wa uongo ambaye humwaga uongo, na mtu ambaye huchochea fitina kati ya ndugu.