Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Lightning

2 mistari

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Kuonekana kwa vile viumbe hai katikati kulikuwa kama makaa ya mawe yanayowaka au kama mienge. Moto ule ulikuwa ukienda mbele na nyuma katikati ya vile viumbe, ulikuwa na mwangaza mkali na katikati ya ule moto kulitoka kimulimuli kama umeme wa radi.

  2. Vile viumbe vilipiga mbio kwenda na kurudi, kama vimulimuli vya umeme wa radi.