Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Levi: Jacob's prophecy regarding

3 mistari · 4 vipengele

Mistari kuhusu Jacob's prophecy regarding

  1. “Simeoni na Lawi ni wana ndugu: panga zao ni silaha za jeuri.

  2. Mimi na nisiingie katika baraza lao, nami nisiunganike katika kusanyiko lao, kwa kuwa wamewaua watu katika hasira yao, walikata mishipa ya miguu ya mafahali kama walivyopenda.

  3. Hasira yao na ilaaniwe, kwa kuwa ni kali mno, nayo ghadhabu yao ni ya ukatili! Nitawatawanya katika Yakobo Na kuwasambaza katika Israeli.