Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Hearth: General references

2 mistari · 1 kipengele

Mistari kuhusu General references

  1. Ulikuwa mwezi wa tisa, na mfalme alikuwa ameketi chumba cha wakati wa baridi akiota moto.

  2. Hata ikawa kila wakati Yehudi alipomaliza kusoma kurasa tatu au nne za hicho kitabu, mfalme alizikata kwa kisu cha mwandishi na kuzitupia motoni, hadi kitabu chote kikateketea.