Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Grass: Figurative

4 mistari · 27 vipengele

Mistari kuhusu Figurative

  1. Unawatowesha wanadamu katika usingizi wa kifo, nao ni kama majani machanga ya asubuhi:

  2. ingawa asubuhi yanachipua, ifikapo jioni huwa yamenyauka na kukauka.

  3. Lakini yeye aliye tajiri afurahi kwa kuwa ameshushwa, kwa sababu atatoweka kama ua la shambani.

  4. Kwa maana jua kali lenye kuchoma huchomoza na kuliunguza, likayakausha majani, na ua lake likapukutika, nao uzuri wake huharibika. Vivyo hivyo tajiri naye atanyauka akiwa anaendelea na shughuli zake.