Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Eye: Anthropomorphic uses of

5 mistari · 1 kipengele

Mistari kuhusu Anthropomorphic uses of

  1. Lakini macho ya Bwana yako kwa wale wamchao, kwa wale tumaini lao liko katika upendo wake usio na kikomo,

  2. ili awaokoe na mauti, na kuwahifadhi wakati wa njaa.

  3. Hatauacha mguu wako uteleze, yeye akulindaye hatasinzia,

  4. hakika, yeye alindaye Israeli hatasinzia wala hatalala usingizi.

  5. Bwana anakulinda, Bwana ni uvuli wako mkono wako wa kuume,