Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Ethanim: Feast of Trumpets in

3 mistari · 6 vipengele

Mistari kuhusu Feast of Trumpets in

  1. Bwana akamwambia Mose,

  2. “Waambie Waisraeli: ‘Katika siku ya kwanza ya mwezi wa saba mtakuwa na siku ya mapumziko, kusanyiko takatifu la ukumbusho litakaloadhimishwa kwa kupiga tarumbeta.

  3. Msifanye kazi zenu zozote za kawaida, lakini toeni sadaka kwa Bwana iliyoteketezwa kwa moto.’ ”