Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Entertainments: Repeated through servants when all things were ready

5 mistari · 50 vipengele

Mistari kuhusu Repeated through servants when all things were ready

  1. Hekima amejenga nyumba yake; amechonga nguzo zake saba.

  2. Ameandaa nyama na kuchanganya divai yake; pia ameandaa meza yake.

  3. Amewatuma watumishi wake wa kike, naye huita kutoka mahali pa juu sana pa mji.

  4. Anawaambia wale wasio na akili, “Wote ambao ni wajinga na waje hapa!

  5. Njooni, mle chakula changu na mnywe divai niliyoichanganya.