Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Dumah: 1. Son of Ishmael

2 mistari · 2 vipengele

Mistari kuhusu 1. Son of Ishmael

  1. Neno kuhusu Duma: Mtu fulani ananiita kutoka Seiri, “Mlinzi, usiku utaisha lini? Mlinzi, usiku utaisha lini?”

  2. Mlinzi anajibu, “Asubuhi inakuja, lakini pia usiku. Kama ungeliuliza, basi uliza; bado na urudi tena.”