Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Dress: Symbolic, filthy, of iniquity

2 mistari · 10 vipengele

Tafuta "Dress"

Mistari kuhusu Symbolic, filthy, of iniquity

  1. Wakati huu, Yoshua alikuwa amevaa nguo chafu alipokuwa amesimama mbele ya malaika.

  2. Malaika akawaambia wale waliokuwa wamesimama mbele yake, “Mvueni hizo nguo zake chafu.” Kisha akamwambia Yoshua, “Tazama, nimeiondoa dhambi yako, nami nitakuvika mavazi ya kitajiri.”