Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Diseases: God often entreated to cure

3 mistari · 53 vipengele

Mistari kuhusu God often entreated to cure

  1. Katika siku hizo, Hezekia akaugua, naye akawa karibu kufa. Nabii Isaya mwana wa Amozi akaenda kwake na kumwambia, “Hili ndilo asemalo Bwana: Tengeneza mambo ya nyumba yako, kwa sababu utakufa, hutapona.”

  2. Hezekia akaelekeza uso wake ukutani, akamwomba Bwana:

  3. “Ee Bwana, kumbuka jinsi nilivyoenenda mbele zako kwa uaminifu na kujitoa kwa moyo wangu wote, na kufanya yaliyo mema machoni pako.” Naye Hezekia akalia kwa uchungu.