Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Diligence

6 mistari · 41 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Ewe mvivu, mwendee mchwa; zitafakari njia zake ukapate hekima!

  2. Kwa maana yeye hana msimamizi, wala mwangalizi, au mtawala,

  3. lakini hujiwekea akiba wakati wa kiangazi na hukusanya chakula chake wakati wa mavuno.

  4. Mungu si mdhalimu: yeye hataisahau kazi yenu na upendo ule mlioonyesha kwa ajili yake katika kuwahudumia watakatifu na hata sasa mnaendelea kuwahudumia.

  5. Nasi twataka kila mmoja wenu aonyeshe bidii iyo hiyo ili mpate kujua uhakika kamili wa lile tumaini mpaka mwisho,

  6. ili msije mkawa wavivu, bali mpate kuwaiga wale ambao kwa imani na saburi hurithi zile ahadi.