Mistari ya Biblia kuhusu Charmers and Charming: Of serpents
Mistari kuhusu Of serpents
Sumu yao ni kama sumu ya nyoka, kama ile ya fira ambaye ameziba masikio yake,
ambaye hatasikia sauti ya kutumbuiza ya mwaguzi, hata kama mganga angecheza kwa ustadi kiasi gani.