Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Bell

4 mistari · 2 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Tengeneza makomamanga ya nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na za rangi nyekundu kuzunguka pindo la hilo joho, na uweke pia vikengele vya dhahabu kati ya hayo makomamanga.

  2. Hivyo vikengele vya dhahabu na makomamanga vitapishana kuzunguka upindo wa joho lile.

  3. Kisha akatengeneza vikengele vya dhahabu safi na kuvishikamanisha kuzunguka pindo hilo kati ya hayo makomamanga.

  4. Hivyo vikengele na makomamanga vilipishana kuzunguka upindo wa joho ili livaliwe kwa kuhudumu, kama Bwana alivyomwagiza Mose.