Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Bath: A Hebrew measure for liquids containing about eight gallons, three quarts.

2 mistari · 1 kipengele

Mistari kuhusu A Hebrew measure for liquids containing about eight gallons, three quarts.

  1. Tumieni mizani sahihi na vipimo sahihi vya efa na bathi.

  2. Efa na bathi viwe sawa, bathi iwe sehemu ya kumi ya homeri na efa iwe sehemu ya kumi ya homeri, homeri itakuwa ndicho kiwango cha kukubalika kwa vyote viwili.